Habari za Punde

YANGA YAGOMEWA NA MAJIMAJI SONGEA YATOA SARE 1-1

Wachezaji wa Majimaji wakishangilia bao lao lililofungwa na Peter Mapunda katika dakika 58. ambapo dakika ya 83 Donald Ngoma akaisawazishia timu yake kwa mpira wa kichwa.

MATOKEO YA MECHI NYINGINE ZA LEO:-
Majimaji 1- Yanga- 1
Stand Utd 0 - Singida Utd- 1
Lipuli 0 - Ruvu Shooting- 
Mtibwa Sugar  2- Mbao Fc- 1
Tanzania Prisons 0 - Ndanda Fc- 0

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.