Habari za Punde

BREAKING NEEEEEWZZZZ!!!! MANJIA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mwenyekiti wa Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu. Yusuf Manji, baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake. HABARI KAMILI ITAWAJIA PUNDE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.