Habari za Punde

KAGERA SUGAR WAIBUKIA KWA NDANDA FC WASHINDA 2-1 KAITABA

Kagera Sugar leo imeweza kupata ushindi wa kwanza tangua kuanza msimu mpya wa ligi Kuu baada ya kupoteza mechi 7 na kushinda mechi ya nane dhidi ya Ndanda Fc leo katika Uwanja wa Kaitaba, ambapo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Baada ya ushindi huo wa leo Kagera Sugar wanapanda hadi nafasi ya 12 katika msimamo wa Ligi akifikisha Pointi 6 huku Ruvu Shooting wakishika mkia wakiwa na pointi 5.

MATOKEO YA MECHI NYINGINEZO ZA LEO
Mtibwa Sugar 0 VS Singida UTD 0
Kagera Sugar 2 VS Ndanda  FC 1
Majimaji  1 VS Mwadui  FC 1
Njombe Mji 0 VS Stand UTD 0
Lipuli FC 2 Asante Kwasi dk 59, 72 VS Mbao FC 1 Habib Haj dk 9

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.