Habari za Punde

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAKUTANA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo walikuwa wakipitia Taarifa ya ziara waliyoifanya Agosti mwaka huu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa wakipitia Taarifa ya ziara waliyoifanya Septemba mwaka huu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara.
 Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Ali Hassan King akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Jerome Bwanausi
Bajeti 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.