Habari za Punde

LOWASSA AMJULIA HALI TUNDU LISSU HOSPITALI NAIROBI

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa, akisalimiana na Mbunge ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Tundu Lissu aliyelazwa nchini Kenya, wakati alipofika kumjulia hali leo mchana.
 Lowassa akiwa ameongozana na mke wake Mama Regina Lowassa waliwasili Hospitalini hapo leo mchana na kuzungumza na Lissu aliyeonekana kufarijika na kuwa na furaha.
Picha za Lissu zilianza kuonakana watu 
viongozi wa juu na wabunge kama 
mbunge wa jimbo la Tarime vijijini, Mhe. John Heche na mbuge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi walipofika kumjulia hali hivi karibuni walipoonekana wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.