Habari za Punde

MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI ST MARY'S MBEZI BEACH

 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi St. Mary's ya Tabata, Thomas Samson, amkimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya msingi mwanafunzi Nahya Muhidin, wakati wa hafla ya mahafali yao iliyofanyika shuleni hapo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, jana. Kulia ni ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Isaac Tamaro. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Wageni waalikwa meza kuu.
Wanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi St. Mary's ya Mbezi Beach Dar es Salaam, waliohitimu wakiwa katika picha ya pamoja na vyeti vyao baada ya kukabidhiwa katika sherehe ya mahafali iliyofanyika shuleni hapo. 
 Mwanafunzi Nahya Muhidin, akimlisha keki Mama yake mzazi Nasma Sufiani, wakati wa sherehe ya kumpongeza kumaliza elimu ya msingi.
 Katika sherehe hiyo pia kulikuwa na kujisevia mambo flani....
 Nahya akijisevia msosi wakati wa kijisherehe kidogo cha kupongezwa.....
 Itifaki ikizingatiwa.......
  Mwanafunzi Nahya Muhidin, akimlisha keki Baba yake mzazi Sufiani Mafoto, wakati wa sherehe ya kumpongeza kumaliza elimu ya msingi.
 Mafoto akipozi na makamanda wake wakati wa sherehe hiyo, Nahya (kushoto) na Nadhifa (kulia)
Mafoto Familly, ndugu jamaa na marafiki katika picha ya mapozi  

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.