Habari za Punde

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI MNAZI MMOJA

 Wanafunzi wa kidato cha Nne wakicheza kwaito wakati wa mahafali ya kuwaaga iliyofanyika shuleni hapo Mnazi Mmoja Dar esSalaam. 
 Wanafunzi wa Kidato cha tatu Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja, wacheza shoo ya pamoja wakati wa mahafali ya kuwaaga wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule hiyo yaliyofanyika shuleni hapo.
 Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha Nne
 Baadhi ya wazazi waliohudhuria mahafali hayo.
 Likipigwa kwaito.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.