Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BONDE LA NGORONGORO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai unaofanyika leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Mhifadhi Dkt. Maurus Msuha mara baada ya kutembelea bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.