Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA BONANZA LA NYERERE DAY ARUSHA

 Mchezaji wa timu ya Waandishi wa habari TASWA SC, Zahro Mlanzi (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Sunrise Radio ya Arusha, Michael Minja, wakati wa mchezo wa Bonanza la Maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day) lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha mwishoni ni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare 1-1, na baadaye Taswa ilitangazwa kinara wa michuano hiyo baada ya kushinda mechi zote zilizofuatia na kubeba makombe yote ya Soka, Netiboli na Kufukuza Kuku.  Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mtanange wa timu za Arusha....
Mchezaji wa timu ya Waandishi wa habari TASWA SC, Said Mihogo (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Sunrise Radio ya Arusha, Peter Seria, wakati  wa mchezo wa Bonanza la Maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day) lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha mwishoni ni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare 1-1, na baadaye Taswa ilitangazwa kinara wa michuano hiyo baada ya kushinda mechi zote zilizofuatia na kubeba makombe yote ya Soka, Netiboli na Kufukuza Kuku. 


 Wachezaji wa Netiboli wa timu ya TASWA Queens, wakichuana kufukuza kuku na wachezaji wa Radio 5 ya Arusha wakati wa Bonanza la Maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day) lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha mwishino mwa wiki. TASWA Queens waliibuka kidedea baada ya kumkamata Kuku huyo. 
 Zuhura Mafoto (katikati) akimkaribia Kuku
 Taswa Fc wakipozi kwa picha na baadhi ya mashabii wao 
 Kizibo na Zuhura wakishangilia baada ya kumkamata Kuku
 Kizibo akikabidhiwa zawadi ya Tisheti baada ya kumkamata Kuku......
 Taswa wakijifua katika mazoezi kabla ya mtanange huo kuanza...
 Picha ya pamoja na wakimbiza kuku wa Taswa....
 Martine (katikati chini) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Sunrise Radio. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Wachezaji wa TASWA Queens ya Dar es Salaam, wakichuana na wenzao wa TASWA Queens ya Arusha wakati wa Bonanza la maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Arusha. Katika mchezo huo TASWA Queens ya Dar esSalaam, walishinda mabao 19 kwa 7. 

 Wachezaji wa TASWA Queens ya Dar es Salaam, wakichuana na wenzao wa TASWA Queens ya Arusha wakati wa Bonanza la maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Arusha. Katika mchezo huo TASWA Queens ya Dar esSalaam, walishinda mabao 19 kwa 7. 
  Wachezaji wa TASWA Queens ya Dar esSalaam, wakichuana na wenzao wa TASWA Queens ya Arusha wakati wa Bonanza la maadhimisho ya Nyerere (Nyerere Day lililofanyika mwishoni mwa wiki, jijini Arusha. Katika mchezo huo TASWA Queens ya Dar esSalaam, walishinda mabao 19 kwa 7. 
  Bao la Zahro Milanzi lililoihakikishia Taswa kutwaa kombe
 Shabiki wa Sunrise Radio (wa pili kushoto) akijitahidi kuwasiadia wachezaji wake kuokoa mpira uliokuwa ukitinga wavuni
 Shabiki wa Sunrise akiendelea kujitahidi kuokoa sambamba na mabeki wa timu hiyo.

 Mwenyekiti wa Taswa Sc, Majuto Omary, akizungumza mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
 Mratibu wa Bonanza hilo, Mussa, akimkabidhi Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura Mafoto, Kikombe baada ya kuibua na ushindi wa mabao 19 kwa 7 dhidi ya Taswa Queens Arusha.
 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mrisho Gambo, akizungumza
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, akipoga penati kama ishara ya kuzindua rasmi Bonanza la Nyerere Day lililoandaliwa na Taswa Arusha lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha, jana. Kulia ni kipa wa Taswa Fc Issa Kipande akijiandaa kuokoa.
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, akipiga penati kama ishara ya kuzindua rasmi Bonanza la Nyerere Day lililoandaliwa na Taswa Arusha lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha. Kulia ni kipa wa Taswa Fc Issa Kipande akijiandaa kuokoa.
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, akirusha mpira wa pete na kufunga kama ishara ya kuzindua rasmi Bonanza la Nyerere Day lililoandaliwa na Taswa Arusha lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha. Kulia ni kipa wa Taswa Fc Issa Kipande akijiandaa kuokoa.
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, akirusha mpira wa pete na kufunga kama ishara ya kuzindua rasmi Bonanza la Nyerere Day lililoandaliwa na Taswa Arusha lililofanyika kwenye Uwanja wa General Tyre jijini Arusha. Kulia ni kipa wa Taswa Fc Issa Kipande akijiandaa kuokoa.
Kikosi cha Taswa Sc katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.