Habari za Punde

WAFANYAKAZI BENKI YA TPB MKOANI MBEYA WAUNGANA NA WATEJA WAO KUSHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJAWateja na wadau wa benki ya TPB Mkoa wa Mbeya wakikata keki katika sherehe za kilele cha wiki ya huduma kwa mteja iiliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi kuu za TPB Mwanjelwa.


Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya TPB Mkoa wa Mbeya katika Picha ya pamoja katika sherehe za wiki ya huduma kwa mteja iliyofanyika katika Ofisi Kuu za TPB Mwanjelwa jijini Mbeya na kuhudhuriwa na wadau mabalimbali wa benki hiyo. 


Baadhi ya wateja na wadau mbalimbali waliohudhuria kilele cha wiki ya huduma kwa mteja benki ya TPB Mkoa wa Mbeya katika Ofisi za kuu Tpb Mwanjelwa. Meneja wa Benki ya TPB Mkoa wa Mbeya Ndugu Humphrey Julius (kulia ) akilishwa keki na mteja wa TPB katika kilele cha wiki ya huduma kwa mteja iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi kuu za benki hiyo Mwanjelwa jijini Mbeya 

Wafanyakazi wa benki ya TPB Mkoa wa Mbeya katika nyuso za furaha siku ya sherehe za wiki ya huduma kwa mteja ambayo imefanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za TPB Mwanjelwa jijini Mbeya na kuhudhuriwa na wadau balimbali.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.