Habari za Punde

MTANANGE WA TIMU YA VIAJANA WA U20 NGORONGORO HEROES VS JKU ZANZIBAR KATIKA PICHA

 Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Viajana wenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, Said Mussa, akichuanakuwania mpira na mchezaji wa JKU ya Zanzibar, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Karime Ilala Dar es Salaam,  Leo Okt 11, 2017. Katika mchezo timu hizo zimetoka sare ya 0-0. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.