Habari za Punde

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE MKOANI DODOMA.

   Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto mbele), akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa huduma za ufundi na umeme wa Wizara hiyo ambaye anamwakilisha Katibu Mkuu, Dkt. William Nshama, mara baada ya kuwasili ofisini kwake mjini Dodoma, leo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake leo, mjini Dodoma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akimsalimia mmoja wa wafanyakazi leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akizungumza na Menejimenti ya Wizara hiyo leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (katikati), akitambulishwa na kuoneshwa ofisi mbalimbali zilizopo katika Wizara hiyo leo, mjini Dodoma.


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.