Habari za Punde

NMB TAWI LA OYSTERBAY PLAZA WAADHIMISHA SIKU YA HUDUMA KWA WATEJA

 01:- Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Hildegard Mng'ong'o, akizungumza na baadhi ya wateja wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika kwenye Ofisi za benki hiyo zilizopo Masaki katika Jengo la Oysterbay Plaza leo asubuhi. Maadhimisho hayo hufanyika wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka duniani kote. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Ofisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Fadhil Ramadhan (kushoto) akimwelekeza mteja, Nancy Mtibua, jinsi ya kutumia kadi ya ATM, wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika kwenye Ofisi za benki hiyo zilizopo Masaki katika Jengo la Oysterbay Plaza leo asubuhi. Maadhimisho hayo hufanyika wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka duniani kote.
 Mhazini Mkuu wa Benki ya NMB, Azizi Chacha (kushoto) akisikiliza maoni ya mteja wa benki hiyo, Stellah Ndosi (katikati) wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika kwenye Ofisi za benki hiyo zilizopo Masaki katika Jengo la Oysterbay Plaza leo asubuhi. Maadhimisho hayo hufanyika wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka duniani kote.
 Majadiliano yakiendelea......
 Mhazini Mkuu wa Benki ya NMB, Azizi Chacha (kushoto) akijadiliana jambo na mteja wa benki hiyo, Stellah Ndosi wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika kwenye Ofisi za benki hiyo zilizopo Masaki katika Jengo la Oysterbay Plaza leo asubuhi. Maadhimisho hayo hufanyika wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka duniani kote. 
 Selfe zikihusika pande hizo
 Baadhi wakipozi kwa picha
 Break fast pia ilihusika pande hizi
 Baadhi ya wafanyakazi wa Tawi hilo wakipata chai na baadhi ya wateja wao waliofika katika hafla hiyo
 Meneja ye alikuwa bize kuhakikisha mambo yanakwenda sawa 
 Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Hildegard Mng'ong'o (katikati) akipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Tawi hilo.
 Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Hildegard Mng'ong'o (katikati) akipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Tawi hilo.
 Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Hildegard Mng'ong'o (katikati) akipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Tawi hilo.
Mhazini Mkuu wa Benki ya NMB, Azizi Chacha (katikati) na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Oysterbay Plaza, Hildegard Mng'ong'o (wa tano kushoto) wakipozi kwa picha na baadhi ya wafanyakazi wa Tawi hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.