Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MASENETA WA BARAZA LA MAREKANI IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake  walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani  na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage,Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamiss Kigwangala,Naibu Waziri wa Mambo ya nje Mhe. Suzane Kolimba wakiwa katika picha ya pamoja  Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.