Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU WA SEKTA YA NISHATI KUTOKA UGANDA IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Naibu Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani katika kikao na ujumbe wa wataalamu wa Sekta ya Nishati toka nchini Uganda na Tanzania waliompatia  taarifa ya maendeleo ya utafiti wa mafuta katika bonde la bonde la ufa ya Eyasi Wembere la Ziwa Tanganyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.