
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki Mohamed Hussein, 'Tshabalala' wakati wa mazoezi Uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Njombe Mji unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi kwenye Uwanja huo. 
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam,jana kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu bara dhidi yao na Njombe Mji, unaotarajia kuchezwa Jumamosi wiki hii jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment