Habari za Punde

TFF YATANGAZA VIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA OKT 28

MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Young Africans na Simba utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kama ilivyotangazwa awali. Hakuna mabadiliko.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio katika mchezo huo kwamba watazamaji watakaohitaji kukaa katika Jukwaa Kuu watalipia Sh 20,000 na Mzunguko ni Sh 10,000.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.