Habari za Punde

UHURU FM WAANZA LEO KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA KWA KUSAIDIA YATIMA KATIKA KAMPENI YAO YA 'GUSA' MAISHA YAKE


Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali, akikabidhi msada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Hassani Hamis, Wafanyakazi wa Uhuru FM walipofika kituoni hapo, Sinza Jijini Dar es Salaam, leo, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. kulia ni Mtangazaji wa Uhuru FM Aggrey Manzi na wanne kulia ni Meja Rasilimali Watu na Utumishi wa Uhuru FM Paul Mng'ong'o. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa tayari kupanda basi kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa tayari kupanda basi kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa.
Mpihapicha wa Uhuru FM Online TV akiwajibika wakati wa safari hiyo kwenda Sinza.
Dereva akiwa tayari kwa safari. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwenda Sinza baadhi yao wakitaniana kidogo
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwa mapozi mbalimbali kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa
"NDIYO TUMEANZA SAFARI" Murugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali (kulia) akiwasiliana, wakati yeye na wafanyakazi wenzake wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa
Steven Mhina Dungumalo (kushoto) akionekana kuwa mwenye furaha wakati yeye na wafanyakazi wenzake wa Uhuru FM wakiwa katika basi kwa ajili ya safari ya kwenda kwenye Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Sinza Jijini Dar es Salaam, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa. Pamoja naye ni Furaha Ruhende
Mhariri wa habari wa Uhuru FM Pius Ntiga (kulia) ambaye alitangulia kuwasili kwenye kituo hicho cha kulele watoto yatima na wasiokuwa chini ya malezi ya wazazi wao, akiwa tayari kupokea wafanyakazi wenzake mda mfupi kabla hawajawasili. Kituo hicho cha kulelea watoto kipo mtaa wa Ngamia, Sinza
Timu ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakionekana baadhi yao kutafakari jinsi watakavyofanikisha utoaji msaafa kwa watoto wa kituo hicho cha kulelea watoto, Sinza
DJ Machachari wa Uhuru FM Fast Edie akitia pozi baada ya kushuka kwenye basi
Mtangazaji wa Uhuru FM Sigori akishuka na furushi la zawadi
Angel Akilimali na mwenzake baada ya kushuka kwenye gari
Kituo cha CHAKUWAMA
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa na wadau wengine nje ya kituo hicho wakisubiri kukaribishwa
Mwandishi wa Channel Ten akisalimiana na Mwandishi wa Uhuru FM Joyce Njarabi baada ya kukutana kwenye eneo la tukio. kulia ni mwandishi wa Uhuru Publications Ltd, Njumai Ngota na kushoto ni Steven Mhina wa Uhuru FM.
Mwandishi wa Channel Ten Said Makala akinong'onezwa jambo na Sheila Simba wa Uhuru FM wakati wa shughuli hiyo. Kushoto ni Steven Mhina wa Uhuru FM
Vitu mbalimbali vikiwemo vyakula vikiwa vimeandaliwa kwa ajili ya msaada huo
Watangazaji wa Uhuru FM Steven Mhina na Sheila Simba wakiwa tayari kutangaza Mbashara tukio hilo la utoaji msaada
Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Hassani Hamis (kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhiwa msaana huo
Mwenyekiti wa maandalizi ya utoaji msaada huo Joyce Njarabi wa Uhuru FM akizungumza kabla ya makabidhiaano ya msaada huo
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akizungumza kabla ya kukabidhi msaada huo
Mmoja wa watangazaji wa Uhuru FM akiwa amembeba mtoto wa kituo hicho cha kulelea watoto
Baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa na watoto wa kituo hicho cha kulelea watoto
Furaha Ruhende wa Uhuru FM akiburudika muziki na watoto wa kituo hicho
Mmoja wa watoto wa kituo hicho akisinzia kwa raha zake wakati amebebwa na mfanyakazi wa Uhuru FM
Baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa na watoto wa kituo hicho cha kulelea watoto
Baadhi ya wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa na watoto wa kituo hicho cha kulelea watoto
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akiwa na mtoto wa kituo hicho 
Cesy Jeremiah wa Uhuru FM akipiga stori na mtoto wa kituo hicho
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimfurahia mtoto wa kituo hicho
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimfurahia mtoto wa kituo hicho
Fuaraha ya kusaidia watoto yatima 
Baadhi ya wafaanyakazi wa Uhuru FM wakijipa picha ili kubaki na kumbukumbu ya kutembelea kituo hicho cha kuelea watoto
Mmoja wa waliolelewa na kituo hicho tangu wakiwa watoto wadogo, Najma Ajuja (15) akizungumza wakati wa kituo kukanidhiwa msaada huo
Furaha Ruhende wa Uhuru FM akiwa amempa simu yake kuifurahia mtoto wa kituo hicho
Pius Ntiga na Wenzake wakipata picha kwenye kituo hicho
Uongozi wa Uhuru FM ukiwa tayari kukabidhi msada huo
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akikabidhi msada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA, Hassani Hamis, Wafanyakazi wa Uhuru FM walipofika kituoni hapo, Sinza Jijini Dar es Salaam, leo, kutoa msaada katika kampeni ya "Gusa maisha yake" iliyoanzishwa na kituo hicho cha radio ikiwa ni sehemu ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. kulia ni Mtangazaji wa Uhuru FM Aggrey Manzi. 
Uongozi wa Uhuru FM ukikabidhi Watoto wa kituo hicho baadhi ya vitu vya msaada
Watoto wa kituo hicho wakienda kuhifadhi baadhi ya vitu ambavyo Uhuru Fm ilikabidhi
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakipeleka eneo la kuhifadhi baada ya makabidhiano ya msaada huo
Mtoto wa kituo hicho akiufurahia msaada wa Uhuru FM
Mtoto wa Kituo hicho akifurahia msaada uliotolewa na Uhuru FM
Watoto wakishiriki kubeba zawadi
Meneja rasiliamali watu na Utumishi wa Uhuru FM Paul Mng'ng'o akizungumza na Watangazaji wa Uhuru FM Sheila Simba na Steven Mhina baada ya Uhuru Fm kukabidhi msaada huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.