Habari za Punde

WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA PAC, MASUALA YA UKIMWI NA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA WAPATIWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO


  Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Nangenjwa kaboyoka akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wabunge iliyofanyika leo katika ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma. kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mheshimiwa Daniel Mtuka, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Muheza, Mheshimiwa Adadi Rajabu na Kushoto ni Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.