Habari za Punde

WAZIRI JAFO AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA MABORESHO YA HUDUMA ZA UMMA NA UTOAJI MADARAKA KWA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MKOANI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa unaofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Tixon Nzunda akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa unaofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma. 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongela wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa na Taasisi ya Uongozi Institute wanaoendesha warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Dk Zainabu Chaula(kushoto mwenye miwani) pamoja na washiriki wengine wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka kwa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo(hayupo pichani) leo mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.