Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE MGENI RASMI MECHI YA IHEFU YA MBEYA NA BUKINAFASO YA MORO

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kulia) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro Mhe. Paschal Kihanga alipowasili katika uwanja wa mpira wa miguu wa Morogoro kuangalia mechi ya Ligi daraja ya pili kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisalimiana na mchezaji kutoka timu ya Bukinafaso ya Morogoro kabla ya mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
 Kikosi cha timu ya Ihefu kutoka Mbeya kabla ya kuanza mechi kati yao na  Bukinafaso ya Morogoro.
 Mtanange ukipigwa....
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akifuatilia mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro. Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.