Habari za Punde

BREAKING NEEEEEWZZZ!!!!! KESHO MUGABE KUTANGAZA KUNG'ATUKA

Habari za kimataifa zilizotufikia hivi punde chumba cha habari cha mtandao huu, zinasema kuwa Jeshi la Zimbabwe, limefanya mazungumzo na kufikia muafaka na Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe na kukubaliana jeshi kumtafutia hifadhi mke wake Grace Mugabe nje ya nchi hiyo, kisha yeye kesho atangaze kung'atuka. KAA NASI KWA HABARI KAMILI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.