Habari za Punde

BREAKING NEEEEWZ!!! LULU ATIWA HATIANI NA MAHAKAMA KIFO CHA KANUMBA

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imemtia hatiani msanii Elizabeth Michael au Lulu kwamba alimuua bila kukusudia  mpenzi wake Steven Kanumba.
Jaji Sam Rumanyika amemtia hatiani mshitakiwa huyo muda huu ambapi anasoma hukumu ya kesi ya kumuua bila kukusudia Kanumba inayomkabili Lulu.
KAA NASI KWA TAARIFA KAMILI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.