Habari za Punde

JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA ZAMBIA WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Msimamizi wa upakiaji na upakuaji Mafuta (Load Master), Peter Mbilanga, (mwenye shati jeupe) akitoa maelezo kwa wageni wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wakubwa kutoka Zambia, jinsi Mafuta yanavyoshuhswa Bandarini hapo na kusambazwa, wakati wageni hao walipofika Bandarini hapo kutembelea na kujifunza na kujua changamoto za Bandari hiyo leo mchana, jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Masoko wa TPA, Lydia Malya. Picha na Muhidin Sufiani
Wakipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa TPA, Lydia Malya......
Majadiliano wakati wa ziara hiyo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Operesheni TPA, Lazaro Jacob, akizngumza na waandishi wa habari wakati akifafanua jambo kuhusu masuala ya kiusalama katika Bandari hiyo, wakati wa mkutano na Jumuiya ya Wafanyabiashara wakubwa kutoka Zambia, waliofika Bandarini hapo jana kwa ajili ya kutembelea na kujionea changamoto zilizopo katika kusafirisha mizigo. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa TPA, Lydia Malya.
Mwakilishi wa wageni hao Michael Nyirenda, akizungumza kuchangia mjadala huo.
Wageni walikabidhiwa zawadi kutoka TPA kwa kumbukumbu...
Wakiendelea kupata maelezo.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.