Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Wanadada wakazi wa Kigogo wakiwa na mizigo ya mbao chakavu kichwani wakipita pembezoni mwa mto Msimbazi wakitoka kuokoteza katika mafuriko yaliyotokea katikati ya wiki iliyopita baada ya kunyesha mvua kubwa iliyosababisha mafuriko.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.