Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Mtoto ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiendesha Baiskeli huku akiwa amepakia madumu matupu, ambapo haikuweza kufahamika alikuwa akiuza ama alikuwa katika harakati za kutafuta maji kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.