Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, DARAJA LA BONDENI HATARINI KUBOMOKA

 Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja la Bondeni baada ya njia panda ya Kawe kuelekea Tegeta, lililobomoka kingo zake kutokana na mvua zilizonyesha majuzi jijini Dar es Salaam, na kutishia kubimoka kwa daraja hilo. 
 Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja hilo la Bondeni
 Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya hilo
 Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja hilo la Bondeni 
Kazi ikiendelea....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.