Habari za Punde

MKUU WA MKOA MARA, ADAMA MALIMA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KIWANJA CHA NDEGE CHA MUSOMA

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Kigoma Malima (aliyenyoosha mkono), akielekeza jambo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Betha Bankwa wakati alipotembelea kiwanja hicho katika ziara ya kushitukiza.
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Betha Bankwa akitoa maelezo mbalimbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara,  Adam Kigoma Malima (wa pili kulia)  alipofanya ziara ya kushitukiza kwenye kiwanja hicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.