Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Katibu Mkuu wake Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam  leo.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Ndugu Abdulrahman Kinana akithibitisha kutimia kwa 
akidi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam kinachoongozwa na Mwenyekiti wa
chama hicho Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo 
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam  leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa makabrasha kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam  leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.