Habari za Punde

NAIBU SPIKA AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA CHAMA CHA JUMUIYA YA MADOLA


 Naibu Spika, Mhe. Dkt Tulia Ackson akiwa katika Mkutano wa Kimataifa wa Chama cha Jumuiya ya Madola unaofanyika Mjini Dhaka, Bangaladesh. Katika Mkutano huo Naibu Spika alitoa mada kuhusu kuwashirikisha vijana kwenye uongozi, Kulia kwake ni Naibu ni Mhe. Kazi Nabil Ahmed, Mbunge Bangladesh, kushoto ni Mhe. Sumitra Mahjan Spika kutoka India.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.