Habari za Punde

TAASISI YA MOYO YA (JKCI) KWA USHIRIKIANO NA HOSPITALI YA SAIFEE YA INDIA WANATARAJIA KUWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA 18 WENYE MATATIZO YA MOYO

 Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya upasuaji ya siku sita inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji wa CABG na kubadilishiwa milango ya moyo (Valve) ambapo  hali zao zinaendelea vizuri.
 Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) wakati wa kambi maalum ya siku sita ya upasuaji wa moyo inayoendelea katika Taasisi hiyo.
Madaktari  Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakiendelea na kazi ya kumfanyia mgonjwa  upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) . Jumla ya wagonjwa 18 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo katika  kambi maalum ya upasuaji wa moyo ya siku inayoendelea katika Taasisi hiyo.  Picha na JKCI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.