Habari za Punde

TAASISI YA MOYO YA (JKCI) YATOA ZAWADI KWA WAFANYAKAZI BORA WA MWEZI WA TISA NA KUMIDaktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi wa tisa Adilla Musa ambaye ni mtunza kumbukumbu katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru.
Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Daktari bora wa mwezi wa kumi Siza Ngomero katika kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru.

Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya Mfanyakazi bora wa mwezi wa kumi Flora Kasembe ambaye ni Msimamizi wa Majengo kwenye kikao cha asubuhi cha kujadili mabadiliko na maendeleo katika tasnia ya magonjwa ya moyo kinachofanyika kila jumatano katika Taasisi hiyo. Kulia ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo Tulizo Shemu na kushoto ni Meneja wa kampuni ya uuzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba ya Samiro, Masilamani Guru .

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.