Habari za Punde

TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA LEO

 
 Nahodha Msaidizi wa Taifa Stars, Himid Mao Mkami, akiwania mpira na Kipa, Ramadhani Kabwili,wakati wa mzoezi yao ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Dar es Salaam,leo.
 Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Ami Ninje, akijipanga mipira kwa ajili ya kuanza mazoezi ya timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu.
 Wachezaji wa Taifa Stars, kutoka (kushoto) Mohammed Issa, Hamisi Abdallah, Dickson Job na Yohana Mkomola, wakifanya mazoezi ya kupasha misuli kabla ya kuanza kwa programu nyingine za kocha kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu.
Kiungo wa Taifa Stars, Raphael Daudi (katikati) akipiga hesabu za kuwatoka Boniface Maganga (kulia) na Elias Maguli kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na wasaidizi wake kutoka kushoto, Ami Ninje, Patrick Mwangata na Fulgence Novatus wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu leo. Picha na Alfred Lucas wa TFF.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.