Habari za Punde

TANESCO YAWEKA WAZI SABABU YA KUKATIKA UMEME NCHI NZIMA LEO ASUBUHI

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dkt. Tito Mwinuka, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo mchana kuhusu tatizo la umeme kukatika nchi nzima leo majira ya asubuhi, kutokana na mtambo wa kuzalisha umeme uliopo katika Gridi ya Taifa kupata hitilafu. Kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Mhaji. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mkutano ukiendelea..
Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Mhaji, akizungumza kuwashukuru waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.