Habari za Punde

TIMU YA BUNGE FC WAJIFUA KUJIANDAA KULIBAKISHA KOMBE LA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI NCHINI

 Mshambuliaji wa timu ya Bunge Fc, Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa timu hiyo, Yona Kilumbi, wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa JK Yourth jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki. Mashindano hayo yanaanza kesho katika Uwanja wa Uhuru. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Masei (kushoto) akichuana kuwania mpira na Yona Kilumbi, wakati wa mazoezi ya Timu ya Wabunge 'Bunge Fc' yaliyofanyika kwenye Uwanja wa JK Yourth jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki. Mashindano hayo yanaanza kesho katika Uwanja wa Uhuru.
 Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, akikokota mpira wakati wa mazoezi ya Timu ya Wabunge 'Bunge Fc' yaliyofanyika kwenye Uwanja wa JK Yourth jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki. Mashindano hayo yanaanza leo katika Uwanja wa Uhuru.
 mazoezi yakiendelea 
 Mshambuliaji wa timu ya Bunge Fc, Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa timu hiyo, Yona Kilumbi, wakati wa mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa JK Yourth jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki. Mashindano hayo yanaanza kesho katika Uwanja wa Uhuru.
Baadhi ya wachezaji wakiwa katika benchi
 William Ngeleja (kushoto) akiwani mpira na Yona Kilumbi.
 Venance Mwamoto (kulia) akimiliki mpira katikati ya msitu wa mabeki pinzani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.