Habari za Punde

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

 Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda  kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani na Shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.
Viongozi wa timu ya Majimaji  wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti wa Timu hiyo Bw. Stephen Ngonyani, Mwenyekiti Kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda na shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.
Viongozi wa Timu ya Majimaji wakiwa Ofisi kwa Waziri Makamba.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.