Habari za Punde

USAJILI TIMU ZA WANAWAKE WATANGAZWA

Wakati Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, ikitarajiwa kuanza Novemba 26, 2017 katika vituo viwili vya Dar es Salaam na Arusha, tayari usajili wa msimu kwa timu zote 12, umekamilika.
Kwa mujibu wa kalenda ya mashindano, usajili ulipangwa ufanyike kati ya Oktoba 25 na Novemba 12, mwaka huu na kwamba kuanzia leo Novemba 13 hadi 17, mwaka huu ni kipindi cha pingamizi.
Novemba 18, mwaka huu kutakuwa na kikao cha Kamati ya Sheria kabla ya Novemba 20, mwaka huu kutoa leseni za wachezaji.
Novemba 24, mwaka huu kutakuwa na Semina ya Viongozi wa klabu, Waamuzi na Makamishna jijini Dar es Salaam.
Ligi hatua ya makundi ikianza Novemba 26, mwaka huu ukomo utakuwa Desemba 9, mwaka huu Ligi Kuu na kupata jumla ya timu nane ambazo zitacheza ligi hatua ya Nane Bora ‘Super 8’ itaanza Desemba 20, mwaka huu. Ligi inatarajiwa kumalizika Machi 28, mwakani.
Timu zilizosajili kutoka Kundi A ambazo ziko Dar es Salaam ni Simba Queens ya jijini Dar es Salaam iliyopanda daraja msimu huu. Timu nyingine kwenye kundi hilo ni Mburahati Queens, JKT Queens, Evergreen zote za Dar es Salaam pamoja na timu za Fair Play ya Tanga na mabingwa watetezi – Mlandizi Queens.
Kundi B litakuwa na timu za Alliance ya Mwanza ambayo imepanda kutoka kituo cha Dodoma. Timu nyingine ni Marsh Academy pia ya Mwanza; Panama ya Iringa; Kigoma Sisterz ya Kigoma, Baobab ya Dodoma na Majengo Queens ya Singida.
NEEMA CHARLES CHIBARA MBURAHATI QUEENS
MWANTUMU R. SENG’ENGA MBURAHATI QUEENS
ZUHURA HAMIS MBURAHATI QUEENS
MARIA ATHUNASS BAYO MBURAHATI QUEENS
SARAH SHAMTE KATEMBO MBURAHATI QUEENS
NEEMA JOBU PAUL MBURAHATI QUEENS
BAHATI GEORGE MBURAHATI QUEENS
ANNA ANDREW MBURAHATI QUEENS
BATURI MOHAMEDI MBURAHATI QUEENS
ANITA MPENDA THOMAS MBURAHATI QUEENS
FATUMA S. GOTAGOTA MBURAHATI QUEENS
JANETH CHRISTOPHER MBURAHATI QUEENS
SHEHATI JUMA MOHAMEDI MBURAHATI QUEENS
MWANVITA MUBA MBURAHATI QUEENS
AISHA JUMA MBURAHATI QUEENS
IRENE PHILLIP MATOWO MBURAHATI QUEENS
MWAIDI H. KONOGOA MBURAHATI QUEENS
TWIHISA S.BAKAKI MBURAHATI QUEENS
TAUSI S.ABDALLAH MBURAHATI QUEENS
SILVIA T.MWACHA MBURAHATI QUEENS
MARIAM AZIZ MBURAHATI QUEENS
FATUMA IDDY MBURAHATI QUEENS

JULITA AMINIEL SINGANO SIMBA QUEENS
ZAINABU RASHID PAZZI SIMBA QUEENS
JACKLINE J.SOLOMONI SIMBA QUEENS
NDINAGWE A.MWAIPOPO SIMBA QUEENS
MILLAR LINUS SOLLY SIMBA QUEENS
EVA CHARLES BOLILOMO SIMBA QUEENS
AMINA M. RAMADHANI SIMBA QUEENS
DOTTO S.MAKUNJA SIMBA QUEENS
ZAINABU S. KAMBI SIMBA QUEENS
MADELIN S.OTIONO SIMBA QUEENS
THERESIA J.JOAKIM SIMBA QUEENS
DIANA H. OMARY SIMBA QUEENS
SIKUDHANI H. MOHAMEDI SIMBA QUEENS
RAHMA S.NASSOR SIMBA QUEENS
LIZZY JOHN KANAKAMUFUMO SIMBA QUEENS
HUSNA M. NANGOIGA SIMBA QUEENS
FARAJA A. KIMLOLA SIMBA QUEENS
IMELDA A.MALILIMA SIMBA QUEENS
MADELINE E. AUGUSTINO SIMBA QUEENS
JOYCE SAMWEL SHAGA SIMBA QUEENS
RUKHIA H.SALUMU SIMBA QUEENS
HALIMA HAMDANI MCHENI SIMBA QUEENS
GRACE TONNY SIMBA QUEENS

FADHIRA HAMAD I YUSUPH MLANDIZI QUEENS
ZAINABU MOHAMED ALLY MLANDIZI QUEENS
VERONIKA GABRIEL MAPUNDA MLANDIZI QUEENS
AQUILLAGASPARY FRANCIS MLANDIZI QUEENS
SEBIA GAVUMA ALBERT MLANDIZI QUEENS
NISSA KARIM KAMALA MLANDIZI QUEENS
REHEMA JULIUS BUTEME MLANDIZI QUEENS
PHILOMENA D. FARAHANI MLANDIZI QUEENS
DIANA WILLIAM MNALY MLANDIZI QUEENS
ZAINABU M.MLENDA MLANDIZI QUEENS
SHAMUMA H. DADI MLANDIZI QUEENS
BATURI M. HASSAN MLANDIZI QUEENS
HADIJA ALLY MOHAMED MLANDIZI QUEENS
WEMA RICHARD MAILE MLANDIZI QUEENS
MWANAHAMIS O.SHURUA MLANDIZI QUEENS
SHAMILA N. MAKUNGURU MLANDIZI QUEENS
JAMILA K. HASSAN MLANDIZI QUEENS
ZAINABU M.ABDALLAH MLANDIZI QUEENS
MAIMUNA A.MTOLO MLANDIZI QUEENS
KAZIJA K. NDEMBO MLANDIZI QUEENS

FATUMA ISSA MAINYO EVERGREEN QUEENS
CHRIDSTINA DAUD EVERGREEN QUEENS
FABIOLA FABIANI EVERGREEN QUEENS
ELIZABETH DISMAS EVERGREEN QUEENS
SHAMIM ALLY EVERGREEN QUEENS
BETINA ANTONY EVERGREEN QUEENS
RUKIA HUSSEIN EVERGREEN QUEENS
AIDA TOMY FUKUMULA EVERGREEN QUEENS
MIRIAM PETER EVERGREEN QUEENS
HAWA ALLY EVERGREEN QUEENS
PROTASIA PIUS EVERGREEN QUEENS
FATUMA SALUM EVERGREEN QUEENS
MONICA MFINANGA EVERGREEN QUEENS
SAKINA SAIDHATUJUANI OBADIA EVERGREEN QUEENS
WINFRIDA PROSPER EVERGREEN QUEENS
YUSTINA MARTIN EVERGREEN QUEENS
AGATHA JOEL EVERGREEN QUEENS
KIJA CASSIAN EVERGREEN QUEENS
SADA RAMADHANI EVERGREEN QUEENS
SADA MESHACK EVERGREEN QUEENS
STELLA WILBERT EVERGREEN QUEENS
LINDA SHILLA EVERGREEN QUEENS
ASHA D.JUMA EVERGREEN QUEENS
FATMAH NAHIMANA EVERGREEN QUEENS

JOHARI SHABAN HAMIS JKT QUEENS
ASHA RASHID MJANGWA JKT QUEENS
BELINA JULIUS NYAMWIHULA JKT QUEENS
ANNA HEBRONI MWAISYURA JKT QUEENS
FATMA MUSTAPHA SWALEHE JKT QUEENS
MARYCABRIEL MASATU JKT QUEENS
ISABELA JOHN KIBWALE JKT QUEENS
NIMAIMUNA HAMIS KAIMU JKT QUEENS
ELIZABETH JULIUS KADONYA JKT QUEENS
FATUMA OMARY JAWADU JKT QUEENS
ANASTAZIA ANTONY KATUNZI JKT QUEENS
STUMAI ABDALLAH ATHMAN JKT QUEENS
FATUMA KHATIBU SALUMU JKT QUEENS
HAPPINESS HEZRON MWAIPAJA JKT QUEENS
NAJIATH IDRISA ABBAS JKT QUEENS
DONISIA DANIEL MINJA JKT QUEENS
NEEMA JACOB KUGA JKT QUEENS
ESTHER FREDY CHABURUMA JKT QUEENS
AMISA ATHMAN HUSSEIN JKT QUEENS
FUMUKAZI ALLY NGURUWE JKT QUEENS
ZENA HAMIS RASHID JKT QUEENS
FRIDIANA JOHN DAUDI JKT QUEENS
ETOO KHAMIS MLENZI JKT QUEENS
FATUMA ISSA SELEMAN JKT QUEENS
FATUMA BASHIRI MAKUSANA JKT QUEENS

CHRISTINA FRANCIS PANCRAS FAIR PLAY QUEENS
CATHERINE NATHAELI SHEMKUA FAIR PLAY QUEENS
HAMIDA HASSAN SELEMAN FAIR PLAY QUEENS
REBEKA DONARD FRANK FAIR PLAY QUEENS
VIOLETH VALERIAN MLAY FAIR PLAY QUEENS
MWANAISHA MUSSA SEIF FAIR PLAY QUEENS
MGENI RAMADHANI KISODA FAIR PLAY QUEENS
ROSE PAULO MRIMI FAIR PLAY QUEENS
LUCY GILBERT KIFWEWE FAIR PLAY QUEENS
IRINE GEORGE MNGUBULA FAIR PLAY QUEENS
FATUMA YASSI MGHAMBA FAIR PLAY QUEENS
RUKIA MAULID DAFTAR FAIR PLAY QUEENS
HUSNA ZUBERI MTUNDA FAIR PLAY QUEENS
ZAHRA IDDY MWIZU FAIR PLAY QUEENS
ASHA HSBAN HAMZA FAIR PLAY QUEENS
JOYCE FARAJA JOEL FAIR PLAY QUEENS
SEMEN ABEID HUSSEIN FAIR PLAY QUEENS
EMIL ISAYA MDIMU FAIR PLAY QUEENS
KHADIJA THADEO MWITA FAIR PLAY QUEENS
ANASTAZIA ALPHONCE MWACHA FAIR PLAY QUEENS
VIOLETH THADEO MACHELA FAIR PLAY QUEENS

SABAHI HASHIM YUSUF SISITERZ FOOTBALL CLUB
REHEMA ELLY PINDA SISITERZ FOOTBALL CLUB
SWAUMU SALUM JONGO SISITERZ FOOTBALL CLUB
AMINA RAMADHAN I HEMEDY SISITERZ FOOTBALL CLUB
ZUWENA AZIZ TEMBELENI SISITERZ FOOTBALL CLUB
REHEMA ABDUL YAHAYA SISITERZ FOOTBALL CLUB
IRENE ELIAS CHARLES SISITERZ FOOTBALL CLUB
SHAN SULTAN MOHAMED SISITERZ FOOTBALL CLUB
GELWA YONA LUGOMBA SISITERZ FOOTBALL CLUB
VIOLETH NICHOLAUS SISITERZ FOOTBALL CLUB
SOPHIA MWASIKILI SISITERZ FOOTBALL CLUB
OWUOR LILY AWOUR SISITERZ FOOTBALL CLUB
TABAKA CHACHA SISITERZ FOOTBALL CLUB
MARIAM SAID SESEME SISITERZ FOOTBALL CLUB
JANE CLOUD LUCAS SISITERZ FOOTBALL CLUB
ZUBEDA MOHAMED NGUNDA SISITERZ FOOTBALL CLUB
AMINA ALLY SHABAN SISITERZ FOOTBALL CLUB
RUKIA ANAFI DAUDI SISITERZ FOOTBALL CLUB
VUMILIA SELEMAN MAARIFA SISITERZ FOOTBALL CLUB
VENERANDA LUKANUS MBANO SISITERZ FOOTBALL CLUB
MWASITI JUMA SELEMAN I SISITERZ FOOTBALL CLUB
MWAJUMA MAHAMOUD MKALAH SISITERZ FOOTBALL CLUB
OPPA CLEMENT SANGA SISITERZ FOOTBALL CLUB
MUKAMANA CLEMENTINE SISITERZ FOOTBALL CLUB

ZABOBU YUSUPH ALLY ALLIANCE GIRLS
MARIAM MWITA BIGANIO ALLIANCE GIRLS
ENEKIA KASSONGO YONA ALLIANCE GIRLS
ELIZABETH EDWARD NASHON ALLIANCE GIRLS
SARAH JOEL MARINGO ALLIANCE GIRLS
ESTHER MABANZA MPINGI ALLIANCE GIRLS
SUZANA ADAM MANUMBU ALLIANCE GIRLS
MWANVITA JAFARI TABAGO ALLIANCE GIRLS
MAOMBI BENEDICTOR MATHIAS ALLIANCE GIRLS
GRACE EDWARD NASHON ALLIANCE GIRLS
ANNASTAZIA BALTAZAR LAZARO ALLIANCE GIRLS
AISHA JUMA MOHAMED ALLIANCE GIRLS
ALIYA FIKIRI SALUM ALLIANCE GIRLS
JANETH MEDSON MATULANGA ALLIANCE GIRLS
HASNUT LUNUS UBAMBA ALLIANCE GIRLS
SHARIFA HAMIDU LUBANDAMO ALLIANCE GIRLS
ANGEL SIMON MWAMPASHI ALLIANCE GIRLS
KHADIJA HUSSEIN SHABAN ALLIANCE GIRLS
RAHABU JOSHUA MUFUMYA ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS ALPHONCE ALLIANCE GIRLS
JESCA JOSEPHAT LUKANAZYA ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS GERVAS MASUMBUKO ALLIANCE GIRLS
HAPPINESS JENRICO PIUS ALLIANCE GIRLS
PRISCA BIHEMO COSTANTINE ALLIANCE GIRLS
BEATRICE LISIASI KABUJANJA ALLIANCE GIRLS
JOYCE MICHAEL MSHAYO ALLIANCE GIRLS
ESTER DANIEL NATHAEL ALLIANCE GIRLS
LEVANIA ERASTO DISMAS ALLIANCE GIRLS
SAFINA ALLY ALLIANCE GIRLS
PHANI ABDUL ZIGIGNA ALLIANCE GIRLS

JANETH SHIJA SIMBA MARSH FC
UNICE FRANCIS BRITISH MARSH FC
CHRISTINA COSMAS PHILIPO MARSH FC
ANITHA CHARLES BAHANGSA MARSH FC
ARAFA ABDULY OMARY MARSH FC
ARAFA YAHYA RAMADHAN MARSH FC
SILVIA DAUDI LIKECHA MARSH FC
NIWAEL KHALFAN MAKURUTA MARSH FC
DACLINA FELIX MWESIGA MARSH FC
HAPPYNESS ERNEST KALELA MARSH FC
VERONICA JOHN MATTO MARSH FC
ZAINABU HASSAN KIENJE MARSH FC
MCHINA LUCAS KALOLI MARSH FC
SAIDA MIRASI MKAMBALA MARSH FC
HUSNA AYOUB MPANJA MARSH FC
CHRISTER JOHN BAHERA MARSH FC
JAYLES CHRISTOPHER MARSH FC
LUSE LANDANI MARSH FC
ASPHATY J.KASINDO MARSH FC
ELIETH E. SHIJA MARSH FC
MONICA H. CONRAD MARSH FC
ROSSY D.MPOMA MARSH FC
SAMIA S.SHESHETA MARSH FC
LOYCE M. SOSPETER MARSH FC
ELIETH S. RWECHUNGULA MARSH FC
WISALA J. PETRO MARSH FC
NEEMA P. KINIGA MARSH FC

KITENGE KABEMBA PANAMA FC
LUCY SABAS MREMA PANAMA FC
HANIFA IDDY MOHAMED PANAMA FC
ASHA ABDUL MALAMWA PANAMA FC
NASMA RWAMBO SAID PANAMA FC
HALIMA KAWAIDA MWAIGOMOLE PANAMA FC
ZAITUNI MUSSA RASHID PANAMA FC
DIANA LUCAS MSEWA PANAMA FC
MARIANA KENETH MWASENGA PANAMA FC
SABINA EMANUEL MBUGA PANAMA FC
NASMA KHALID MANDUTA PANAMA FC
HAFSA GODWIN MWAKAPILA PANAMA FC
MARTHA MEJA MWASAMALE PANAMA FC
ASTERIA PASCHAL KISOKA PANAMA FC
NEEMA ISRAELI NDUYE PANAMA FC
MWANAIDI NASSOR MOHAMED PANAMA FC
JOHARI JOHN MUSIGALA PANAMA FC
JENIPHAR EDWARD MWAPONILE PANAMA FC
MARIAM SAID NKUMBA PANAMA FC
JOVITA YAHYA MPULULU PANAMA FC
YUSLA GANOLO KASENEGALA PANAMA FC
GLADNESS ERNED KYONDO PANAMA FC
FRANCISCA SALVATORY FWENI PANAMA FC

EDDIE MWELA MAJENGO WOMEN FC
AMINA MUSSA MAJENGO WOMEN FC
MARIAM DICKSON MAJENGO WOMEN FC
RUTH DANIEL MAJENGO WOMEN FC
ALICIA KAZINDUKI MAJENGO WOMEN FC
ADIJA HAMIS MAJENGO WOMEN FC
AGRIPINA EDWARD MAJENGO WOMEN FC
MWANAIDI JUMA MAJENGO WOMEN FC
BATISEBA GODWIN MAJENGO WOMEN FC
FATUMA NYEMBO MAJENGO WOMEN FC
ASIA ABDALLAH MAJENGO WOMEN FC
SHUFAA MUHIDINI MAJENGO WOMEN FC
AGNES ELISHA MAJENGO WOMEN FC
MARIAM MZUGA MAJENGO WOMEN FC
ELIZBETH YOHANA MAJENGO WOMEN FC
FURAHA TADEO MAJENGO WOMEN FC
IRENE CHITANDA MAJENGO WOMEN FC
SIFIA JABIR MAJENGO WOMEN FC
AISHA HAMIS MAJENGO WOMEN FC
SHUFAA ISSA MAJENGO WOMEN FC
FAIDHA ISMAIL MAJENGO WOMEN FC
HAWA ATHMANI MAJENGO WOMEN FC
DOROTHEA BENARD MAJENGO WOMEN FC
PAULINA SEVERINE MAJENGO WOMEN FC

BEATRICE OTHMAN ABDALLAH BAOBAB
GRACE SAMKI MCHUTA BAOBAB
ESTER RELATUS MAYALA BAOBAB
JANET JOHN PETRO BAOBAB
MARIAM MAMAUNA KIMBUYA BAOBAB
JOSEPHINE JULIUS NYIRENDA BAOBAB
ANITA ANTONY KISOMA BAOBAB
JACKLINE BARIKI RINGO BAOBAB
SUZAN CARLOS KOMBA BAOBAB
WARDA SALUM MFAYEKA BAOBAB
MWANTUM OMARY SALUM BAOBAB
SAMILA ALLY SAID BAOBAB
FATUMA ABDALLAH SAID BAOBAB
ALEXSHA MALICHA ITALE BAOBAB
EVER MICHAEL KOMBO BAOBAB
SARAH SALAGA MBULANZU BAOBAB
ASIA JUMA TIAZO BAOBAB
KAPANGALA JOHN SHIKAMKONO BAOBAB
MARTHA JOHN ADRIAN BAOBAB
SANDRA MTHEW RAMSEY BAOBAB
HAWA SELEMA FARAHANI BAOBAB
KALUNDE JUMA ATHMAN BAOBAB
SOPHIA SIMON NADE BAOBAB
AGNES ELISH PALANJO BAOBAB
WADRAT ABDUL BAOBAB

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.