Habari za Punde

VIDEO:NAIBU SPIKA TULIA AKSONI AIBUKA MSHINDI MBIO ZA KILOMETA 5

Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Tulia Aksoni ameendesha harambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoaani Ruvuma kwa ajili ya kujenga hodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji,pia naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.