Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN KUJADILI MICHEZO


 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball.
 Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kushoto) akifafanua jambo wakati wa maongezi na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball. Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.