Habari za Punde

YANGA INAPENDEZA ZAIDI WAIRARUA MBEYA CITY MKONO

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) akipiga shuti huku akizongwa na mabeki wa Mbeya City, Sankani Mkandawile (kushoto) na Rajab Isihaka, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, jioni ya leo. Katika mchezo huo Yanga imeshinda mabao 5-0, yaliyofungwa na Obrey Chirwa na Emmanuel Martin.  MATOKEO 

MENGINE YA MECHI ZA LEO:
Mtibwa Sugar 0 - Kagera Sugar 1
Njombe Mji 0 - Azam fc 1
Yanga Sc 5 - Mbeya City 0

Wachezaji wa Yanga wakishangilia na kumpongeza Emmanuel Martin baada ya kufunga bao la pili katika kipindi cha kwanza. KWA HABARI NA PICHA ZAIDI KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.