Habari za Punde

BALOZI WA INDOSIA, PALESTINA NA NAMIBIA NCHINI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA SEKTA YA MICHEZO , HABARI NA UTAMADUNI

   Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi mbalimbali mara baada ya kufanya nao mazungumzo kuhusu namna ya kushirikiana katika sekta ya Habari,Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es Salaam (wa pili kushoto) Balozi wa Palestina nchini Riyad Mansour, (wapili kulia) Balozi wa Indonesia nchini Dian Djani na (wakwanza kushoto) Balozi wa Namibia nchini Neville Gertze.
Balozi wa Palestina nchini Riyad Mansour akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwayembe (hayupo pichani) namna nchi yake inaweza kushirikiana na Tanzania katika sekta ya Habari,Utamaduni na Michezo walipokutana ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Indonesia nchini Dian Djani (kushoto)akizungumza na Waziri  wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwayembe (hayupo pichani) kuhusu nchi yake kuhitaji ushirikiano na Tanzania katika sekta ya Habari  na Utamaduni alipotembelea ofisi yake jijini  leo Dar es Salaam.
Balozi wa Namibia nchini Neville Gertze (kushoto)akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwayembe (kulia) kuhusu nchi yake kutaka kushirikiana na Tanzania katika masuala ya Habari na Utamaduni alipotembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Picha na Anitha Jonas – WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.