Habari za Punde

BENKI YA NMB YAZINDUA ELIMU YA FEDHA KWA WATOTO NA VIJANA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na waandishi wahabari ba baadhi ya wateja wa Benki ya NMB, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Elimu ya fedha kwa ajili ya watoto na vijana uliyofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ineke Bussemaker.
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea fomu za kufungua Account ya familia kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker, ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Elimu ya fedha kwa ajili ya watoto na vijana uliyofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Benki na Mauzo, Omari Mtinga. 
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akimkabidhi zawadi ya madaftari, mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Mlimani, Caroline Michael, wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker, akimkabidhi zawadi ya madaftari mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Mlimani, Mariam Ibrahim.
 Wanafunzi wakiimba ngonjela
 Sehemu ya wafanyakazi wa NMB na baadhi ya Wateja wa waliohudhuria hafla hiyo 
Wanafunzi waliohudhuria hafla hiyo. 
 Picha ya pamoja ya wanafunzi na meza kuu
Picha ya pamoja ya baadhi ya wafanyakazi na meza kuu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.