Habari za Punde

DK SHEIN AHUDHURIA MAULID YA MFUNGO SITA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Alhajj Ali Mohamed Shein, akijumuika katika sherehe tukufu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya maisara Zanzibar. Picha na Ikulu
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Wananchi na Viongozi wa Serikali katika hafla ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.
Wanafunzi wa Madrasatul E’itiswam ya Chukwani Zanzibar wakisoma Qwasid ya Salamu ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Al Hajj, Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya maisra Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Al hajj Ali Mohamed Shein, akisalimia na Mwenyekiti wa Kamati ya Maulid ya Mfungo Sita Zanzibar  Sheikh Shirali Champsi alipowasili katika viwanja vya  maisara Zanzibar kuhudhuria katika sherehe za Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.