Habari za Punde

IGP SIRRO, AZINDUA ZAHANATI NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UTAYARI MKOA WA KATAVI.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa pili kulia akiwa na maafisa wa Jeshi la Polisi wakati wa uzinduzi wa Zahanati ya Mkoa wa Katavi leo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) kulia kwake ni Meja Jenerali Mstafu Rafael Muhuga, wakiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Katavi. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wanne kutoka kulia akiwa katika mazoezi ya utayari na Askari waliokuwa wakifanya maonyesho ya utayari Mkoa wa Katavi wakati wa ziara yake. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.