Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Askari wa Usalama Barabarani akiongoza magari katika taa za kuongozea magari za Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, huku taa pia zikiwa zinafanya kazi kama alivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog. Je kipi husababisha foleni za magari ni Taa au Askari? Hapa anaonekana akiongoza magari hali ya kuwa taa zinafanya kazi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.