Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO


Madereva wa Bodaboda wakiosha pikipiki zao katika Dimbwi la maji yaliyotuama kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam, hivi karibuni kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog eneo la Ubungo Plaza. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.