Habari za Punde

KIJITONYAMA CHIPUKIZI ILIVYOIRALUA KINONDONI MTAMBANI 6-0 KOMBE LA KMC

 Mchezaji wa timu ya Kinondoni Mtambani Fc, Makalius Lucas  (kulia) akichuana kuwania mpira na Ibrahim Ibadi wa Kijitonyama Chipukizi Fc, wakati wa mchezo wa Ligi ya Vijana ya 'KMC Chipukizi Cup' uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Katika mchezo huo Kijitonyama Chipukizi ilishinda mabao 6-0 yaliyofungwa na Ibrahim Ibadi, (3) Omary Chaurembo (2) na Ally Bakari (1). Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.