Habari za Punde

KILIMANJARO STARS BAADA YA DROO YA JANA YAZIDI KUJIFUA

Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara wakiwa katika mazoezi kujiandaa na mechi mbalimbali za kuwania Kombe la Chalenji kwenye Uwanja wa mazoezi wa Machakos, Kenya leo asubuhi Jumatatu Desemba 4, 2017. (Picha na Cliford Ndimbo wa TFF).

Kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, Ammy Ninje akiongoza mazoezi ya kikosi hicho leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.