Habari za Punde

KITABU CHA 'SOTE TUNAWEZA' CHAZINDULIWA DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu, akionyesha Ktabu cha 'Sote Tunaweza', kwa waandishi wa habri (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kitabu hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Dar es Salaam,jana. Kitabu hicho kina lengo la kuchangia uimarishaji wa mifumo ya kiutendaji na kuboresha Rasilimali watu. Kuliani ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu, akionyesha Ktabu cha 'Sote Tunaweza', kwa waandishi wa habri (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Kitabu hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Dar es Salaam,jana. Kitabu hicho kina lengo la kuchangia uimarishaji wa mifumo ya kiutendaji na kuboresha Rasilimali watu. Kuliani ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu (kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Idara ya Habri Maelezo, Rodney Thadeus.  
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.