Habari za Punde

MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA DAR

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo.

Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya (mwenye fimbo) akiwaongoza viongozi wa chuo hicho katika mahafali ya 11 ya ARU katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa naye jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo.
Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo.
Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya viongozi wakati wa hafla hiyo.
Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakifuatilia matukio katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya (mwenye fimbo) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa chuo hicho katika mahafali ya 11 ya ARU katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa naye jijini Dar es Salaam leo. Picha na Robert Okanda

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.